Rais Kenyatta na Raila Wapendekeza Marekebisho ya Katiba Kenya 📝

Kenya inaadhimisha miaka 11 tangu kuanzishwa kwa Katiba mpya, huku viongozi wakitaka marekebisho ili kuleta maendeleo na uwiano zaidi nchini. Jifunze zaidi kuhusu mabadiliko yanayopendekezwa na viongozi wakuu wa nchi.

Rais Kenyatta na Raila Wapendekeza Marekebisho ya Katiba Kenya 📝
EbruTVKENYA
2 views • Aug 27, 2021
Rais Kenyatta na Raila Wapendekeza Marekebisho ya Katiba Kenya 📝

About this video

Kenya Hii Leo Inaadhimisha Miaka 11 Baada Ya Katiba Mpya Kuzaliwa. Ujio Wa Katiba Mpya Ulifungua Mwanga Nchini Baada Mda Ya Mrefu Wa Uongozi Wa Kiimla Pasipo Kujali Wanyonge. Mwanahabari Wetu Jeff Khaemba Amekuandalia Makala Maalum Kuhusu Katiba Ya Sasa Na Mchakato Wa Kisiasa Wa Kuifanyia Marekebisho Kufuatia Handisheki Kati Ya Rais Uhuru Kenyatta Na Kiongozi Wa Upinzani Raila Odinga....

Video Information

Views

2

Duration

9:55

Published

Aug 27, 2021

Related Trending Topics

LIVE TRENDS

Related trending topics. Click any trend to explore more videos.