ODM Wabunge Waanza Kujadili Mswada wa Marekebisho ya Katiba Kesho π
Chama cha ODM kimetoa mwelekeo kwa wanachama wao kuhusu mswada wa marekebisho ya katiba utakaojadiliwa kesho. Mwenyekiti John Mbadi amewataka wanachama kujiandaa kwa mabadiliko makubwa.
EbruTVKENYA
1 views β’ Apr 27, 2021
About this video
Chama Cha ODM Kimetoa Mwelekeo Kwa Wanachama Wao Kuhusu Mswada Wa Marekebisho Wa Katiba Ambao Utajadiliwa Hapo Kesho.Mwenyekiti Wa Chama John Mbadi Amewataka Wabunge Wote Wa Chama Kuunga Mswada Huo Huku Akitoa Vitisho Kwa Wale Watakaokiuka Amri Watachukuliwa Hatua.Baadhi Ya Wabunge Akiwemo Timothy Wanyonyi Wa Westlands Na Mwenzake Wa Mvita Abdulswamad Sharrif Nassir Wameunga Pendekezo La Mbadi Kuchukua Hatua Moja Wakati Wa Kutegua Mtego Wa BBI
Video Information
Views
1
Duration
2:30
Published
Apr 27, 2021
Related Trending Topics
LIVE TRENDSRelated trending topics. Click any trend to explore more videos.