Wanaharakati Wataka Mabadiliko 30 Katika Katiba Kuanzia Kesho โ๏ธ
Kundi la wanaharakati linapinga vipengee 30 vya katiba na kuandaa mchakato wa kusikiliza kuhusu uundaji wa jopo la kuondoa makamishena wanne wa IEBc. Soma zaidi kuhusu juhudi hizi za mageuzi ya kisiasa!
EbruTVKENYA
1 views โข Nov 27, 2022
About this video
Huku Mchakato Wa Kusikiliza Iwapo Jopo Liundwe Kuwabandua Makamishena Wanne Wa Iebc Kufanyika Hapo Kesho,Kundi Moja Kwa Jina Operation Linda Ugatuzi Limejitokeza Kuitaka Serikali Kufanya Mageuzi Ya Katiba 30 Mojayazo Ikiwa Kuwepo Kwa Mamlaka Ya Jumla Kumtangaza Rais Baada Ya Makamishena Kuwa Na Taarifa Kamili Na Wala Si Mwenyekiti.Aidha Wametaka Kuwepo Kwa Wadhifa Wa Super Seneta Serekalini.
Video Information
Views
1
Duration
5:52
Published
Nov 27, 2022
Related Trending Topics
LIVE TRENDSRelated trending topics. Click any trend to explore more videos.