Mahakama ya Upeo Yazima Mchakato wa Mabadiliko ya Katiba Kenya ✋
Mahakama ya Upeo imetupilia mbali mswada wa mabadiliko ya katiba kupitia 'Handshake', ikizima matumaini ya marekebisho ya kisiasa nchini Kenya. Majaji saba, sita wakiwa dhidi ya mabadiliko.
KTNPlus
10 views • Apr 1, 2022
About this video
Mahakama ya upeo imezima matumaini ya kuifanyia marekebisho katiba ya nchi kupitia mwafaka wa kisiasa maarufu kama 'Handshake'. Majaji sita kati ya saba hao, walitoa uamuzi kwamba Rais hawezi kuongoza shughuli ya kubadili katiba kutumia sheria ambayo ilitengewa mwananchi wa kawaida.
Video Information
Views
10
Duration
2:35
Published
Apr 1, 2022
Related Trending Topics
LIVE TRENDSRelated trending topics. Click any trend to explore more videos.
Trending Now