Rais Museveni ameapishwa kuongoza Uganda kwa muhula wa saba
#Museveni #Uganda #Bobiwine Nchini Uganda, rais Yoweri Museveni, ambaye amekuwa madarakani kwa miaka 40, ameapishwa tena kuongoza nchi hiyo kwa muhula mwin...

RFI Kiswahili
814 views โข May 13, 2026

About this video
#Museveni #Uganda #Bobiwine
Nchini Uganda, rais Yoweri Museveni, ambaye amekuwa madarakani kwa miaka 40, ameapishwa tena kuongoza nchi hiyo kwa muhula mwingine wa miaka mitano baada ya kutangazwa mshindi wakati wa uchaguzi mkuu mwezi Januari.
Baada ya kuapishwa, rais Yoweri Museveni alizungumza kuhusu haja ya kuwa na miongozo mipya kupambana na umaskini na ufisadi ambao umekuwa changamoto wakati wa utawala wake.

Tags and Topics
Browse our collection to discover more content in these categories.
Video Information
Views
814
Likes
7
Duration
1:33
Published
May 13, 2026
Related Trending Topics
LIVE TRENDSRelated trending topics. Click any trend to explore more videos.
Trending Now