Kenya vs Uganda: Museveni's Sea Claim Sparks Debate 🌊
Museveni claims Kenya's Indian Ocean coast is Ugandan territory, sparking controversy, jokes, and questions among Kenyans and Ugandans.

MIZUKA MEDIA
104.4K views • Nov 14, 2025

About this video
Kenya Vs Uganda? Kauli ya Rais Yoweri Museveni kudai kwamba Bahari ya Hindi ya Kenya ni mali ya Uganda imezua mjadala mkubwa, kelele, vichekesho na maswali mazito mitandaoni. Katika video hii tunakuonyesha majibu ya Wakenya kupitia video 8 tofauti—kutoka kwa vijana wa TikTok, kina mama, wanaharakati wa mtandaoni, mpaka walimu wa siasa mitandaoni—wakijibu kauli ya Museveni na hata vitisho vya Mkuu wa Jeshi wa Uganda.
Hii ni drama mpya ya East Africa inayogusa siasa, uongozi, usalama wa mipaka na pia mtazamo wa wananchi kuhusu mgogoro huu wa “Bahari ya Hindi”. Tumeikusanya kwa ufupi na kwa ucheshi ili upate maoni yote kwa undani.
Katika video utapata:
– Kauli kamili ya Museveni kuhusu Bahari ya Hindi
– Wakenya wakiitafsiri kama mchezo wa kisiasa
– Vichekesho na kejeli za TikTok
– Maswali makali ya kina mama wa Kenya
– Swali kubwa: Je, Museveni yuko serious au ni siasa za mkondo wa juu?
– Kauli ya mwana wa Museveni akipatia Kenya saa 8 menyerende bahari
Tazama hadi mwisho ili kuelewa kwa nini Kenya na Uganda zinatrend kote mtandaoni.
Na usisahau kuacha comment: Unadhani Museveni alikuwa anatania… au hii ni onyo la kweli?
#KenyaVsUganda
#Museveni
#BahariYaHindi
#EastAfricaNews
#MizukaMedia
#KenyaTanzaniaUganda

Tags and Topics
Browse our collection to discover more content in these categories.
Video Information
Views
104.4K
Likes
661
Duration
11:29
Published
Nov 14, 2025
User Reviews
4.2
(20) Related Trending Topics
LIVE TRENDSRelated trending topics. Click any trend to explore more videos.