Israel Mbonyi - Uwe Hai
Keep up with Israel Mbonyi at https://Imbonyi.com https://instagram.com/israelmbonyi https://facebook.com/imbonyi https://twitter.com/israembonyi https://w...
🔥 Related Trending Topics
LIVE TRENDSThis video may be related to current global trending topics. Click any trend to explore more videos about what's hot right now!
THIS VIDEO IS TRENDING!
This video is currently trending in Singapore under the topic 'itoto system 12'.
About this video
Keep up with Israel Mbonyi at
https://Imbonyi.com
https://instagram.com/israelmbonyi
https://facebook.com/imbonyi
https://twitter.com/israembonyi
https://www.tiktok.com/@israelmbonyi
Contacts :
Informations : Info@Imbonyi.com
Bookings : Booking@Imbonyi.com
UWE HAI
Verse
Mbali ninayatupa hayo yote yakushirakiyo
Maana Mii Ni Mwenyezi Mungu, Usinzie nakufunika
Tena Mimi Niko Naweza kukutunza
kwa Neno la Kinywani mwangu
Na utayalalia haya Maneno
Kisha na mkono wangu
utakandamiza malengo ya wabaya
Maana Mimi Niko
Nitakulinda kwa gongo la Upendo wangu
Uwe hai, natamka, uwe hai.
Chorus :
Uwe hai, eweee Uwe hai
Uwe hai, eweee Uwe hai
Wee mifupa ilio kauka , Ewe uwe hai
Wee mifupa mikavu ewe uwe hai
Akanitazama kwa utele wa upendo wake,
Eti uwe hai
Akanitazama, kwa utele wa Rehema Zake,
Eti uwe hai.
Bridge :
Uko na alama ya damu yake mpenzi
We ni wangu mi wako ooh
Hayo ninayasema.
©12stonesRecord
Video Information
Views
2.5M
Total views since publication
Likes
25.2K
User likes and reactions
Duration
10:57
Video length
Published
Nov 18, 2024
Release date
Quality
hd
Video definition
Captions
Available
Subtitles enabled
About the Channel
Tags and Topics
This video is tagged with the following topics. Click any tag to explore more related content and discover similar videos:
Tags help categorize content and make it easier to find related videos. Browse our collection to discover more content in these categories.