Israel Mbonyi - Malengo ya Mungu

stream at https://bfan.link/malengo-ya-mungu Follow Israel Mbonyi at https://Imbonyi.com https://facebook.com/imbonyi https://instagram.com/israelmbonyi h...

Israel Mbonyi•23.9M views•8:17

About this video

stream at https://bfan.link/malengo-ya-mungu Follow Israel Mbonyi at https://Imbonyi.com https://facebook.com/imbonyi https://instagram.com/israelmbonyi https://twitter.com/israembonyi https://www.tiktok.com/@israelmbonyi Contacts : Information : Info@Imbonyi.com Bookings : Booking@Imbonyi.com Malengo ________ Verse 1 Atakaye kuwa na wema Ahitajie kuheshimiwa Basi aende ayatafute kwa kutenda mema bila kusita Asiyajali macho ya watu Maana yao sio muhimu Bali ajali jina nimuitalo Kwani mi ni Mungu aliyemuumba Chorus Ninayajua yangu malengo Ni mema sio mabaya Ili niwape matumaini ya siku zijazo Nawapenda Wambieni wenye huzuni Tulizeni wenye majelaha Wambieni waje waone Tuna Mungu mwingi wa upendo Alitukuta tukigagaa dhambini akatutoa Katuosha na kutusafisha Akatuahidi uzima wa milele Verse 2 Simameni kwenye mnara, usubiri ntakacho kisema Zizuieni sauti za muovu Na upende kuwa mwenye haki Nenda omba tena uombe Tofautisha kuomba kwako, Maana hapo nitakuokoa Nitaoa jeshi kubwa kwa ajili yako

Tags and Topics

This video is tagged with the following topics. Click any tag to explore more related content and discover similar videos:

Tags help categorize content and make it easier to find related videos. Browse our collection to discover more content in these categories.

4.3

4783 user reviews

Write a Review

0/1000 characters

User Reviews

0 reviews

Be the first to comment...

Video Information

Views
23.9M

Total views since publication

Likes
89.5K

User likes and reactions

Duration
8:17

Video length

Published
Dec 15, 2023

Release date

Quality
hd

Video definition

Related Trending Topics

LIVE TRENDS

This video may be related to current global trending topics. Click any trend to explore more videos about what's hot right now!

THIS VIDEO IS TRENDING!

This video is currently trending in Morocco under the topic 'météo demain'.

Share This Video

SOCIAL SHARE

Share this video with your friends and followers across all major social platforms. Help spread the word about great content!