Spika Wa Bunge na Seneti Wangojea Uamuzi wa Mahakama Kuhusu Marekebisho ya Katiba π
Justin Muturi na Kenneth Lusaka wanangoja uamuzi wa mahakama kuhusu mchakato wa marekisho ya katiba na hatua za maridhiano, huku wakitazamia mustakabali wa kisiasa wa Kenya.
EbruTVKENYA
21 views β’ May 11, 2021
About this video
Spika Wa Bunge La Kitaifa Justin Muturi Na Mwenzake Wa Seneti Kenneth Lusaka Wanasubiri Uamuzi Wa Mahakama Kuhusu Mchakato Wa Maridhiano Na Kujenga Madaraja Nchini Bbi Baada Ya Kuzuia Rais Kutia Saini Mswada Wa Marekebisho Ya Katiba. Tayari Mabunge Yote Mawili Yamepitisha Mswada Huo Ambao Hatma Yake Inasalia Mikononi Mwa Rais. Hata Hivyo Hatua Hii Haitatekelezwa Hadi Pale Mbivu Na Mbichi Itajulikana Siku Ya Alhamisi Wakati Korti Itakapotoa Uamuzi. Mwanahabari Wetu Jeff Khaemba Na Taarifa Kamili//<br />
Video Information
Views
21
Duration
3:18
Published
May 11, 2021
Related Trending Topics
LIVE TRENDSRelated trending topics. Click any trend to explore more videos.