Unspoken Salaton & Joefes Drop Electrifying A.I. Music Video 🤖

Experience the official music video for 'A.I.' by Unspoken Salaton and Joefes. Stream now and feel the futuristic vibe! 🎶

UNSPOKEN SALATON 109.9K views3:24

About this video

"A.I" by Unspokensalaton & @Joefes
Stream: https://blackmarket.lnk.to/ai
Produced by Unspoken Salaton
Shot By G.I
#joefes #ai #unspokensalaton

A.I Lyrics;
Usiseme unanipenda juu that is a lie
ukinitaka tangaza weka Vitu vulai
Juu siukuamini nimebaki zile AI
Hiyo Ni ukweli ama Ni uwongo ama Ni Ai

Ai

Niko mbele wako nyuma kama ma Bgv
Hawabongi na Mimi labda Na chat Gpt,
Hatulali tuko aluta si Na usingizi zi,
Ambia ma mr berry Nani Bigi G uku Jiji

Maftani ka P diddy, Maji Maji ka kaniini,.
Haiwezi kua nyinyi Basi Nani kama si Mimi,
I keep it mia mi si Judas ongeza sabini,
Watu wazima, si hamtuzimi tuko on ya Zimme,

Mi si Nyanya imeoza Mbona Stoki Sokoni
Usiseme unanipenda Na huna kitu Kwa Pori,
Gode Kwa longi, nyonga piga machoki,
Piga, sweat Na sichoki,
Unapewa D we si chopi..

Usiseme unanipenda juu that is a lie
ukinitaka tangaza weka Vitu vulai
Juu siukuamini nimebaki zile AI
Hiyo Ni ukweli ama Ni uwongo ama Ni Ai

Ai

Mbele ya Mungu mi nakuja please may I
Wakinitafuta wachanganye ka Ai
Early bird kurauka nasaka kerai
Nibaki na hot shower Kwa keja na si karai
Nipate hela kibao nihepe makarao
Msupa tuchape ndirau Pete avishwe gown
Rangi ya thao jino goro nasafisha brown
Utarudi ocha ukileta hapa mchezo wa town
Mahewa mnapewa
Unawekelewa alafu unawekewa
Manzi abembelezwe alafu anadekezwa
Ni vitu hajazoea anadhani joh ni AI

Usiseme unanipenda juu that is a lie
ukinitaka tangaza weka Vitu vulai
Juu siukuamini nimebaki zile AI
Hyo Ni ukweli ama Ni uwongo ama Ni Ai

A.I 3 Piece;
https://drive.google.com/drive/folders/1j7be9hLEcBrRjg4PEczSuGWYoO-izlnD?usp=sharing

Follow everything on Unspoken SALATON

TikTok: https://vm.tiktok.com/ZML3FRJJE/
Facebook: https://www.facebook.com/unspokenAtm/
Instagram: https://instagram.com/unspoken_salaton?igshid=YmMyMTA2M2Y=
Twitter : https://twitter.com/UnspokenSalaton?t=sciBDBDMb15xXgF-TZkVyA&s=03

Tags and Topics

This video is tagged with the following topics. Click any tag to explore more related content and discover similar videos:

Tags help categorize content and make it easier to find related videos. Browse our collection to discover more content in these categories.

4.7

21 user reviews

Write a Review

0/1000 characters

User Reviews

0 reviews

Be the first to comment...

Video Information

Views
109.9K

Total views since publication

Likes
2.7K

User likes and reactions

Duration
3:24

Video length

Published
Sep 13, 2025

Release date

Quality
hd

Video definition

Related Trending Topics

LIVE TRENDS

This video may be related to current global trending topics. Click any trend to explore more videos about what's hot right now!

THIS VIDEO IS TRENDING!

This video is currently trending in Thailand under the topic 'สภาพอากาศ'.

Share This Video

SOCIAL SHARE

Share this video with your friends and followers across all major social platforms including X (Twitter), Facebook, Youtube, Pinterest, VKontakte, and Odnoklassniki. Help spread the word about great content!