Udjumbe Choir - HAUSINZII ft. Rebecca BALUME (Live 🎶)

Enjoy the live performance of 'HAUSINZII' by Udjumbe Choir featuring Rebecca Balume, blending soulful music with spiritual messages.

Udjumbe Choir - HAUSINZII ft. Rebecca BALUME (Live 🎶)
Udjumbe Choir
1.7K views • Mar 14, 2026
Udjumbe Choir - HAUSINZII ft. Rebecca BALUME (Live 🎶)

About this video

Biblia maandiko matakatifu yana tueleza kwamba Mungu hasinzii wala halali kwa ajili yaku linda waliyo wake. Kumbuka mara ngapi ume shikwa na woga kulingana na hali fulani unayo kutana nayo maishani lakini umepata musaada toka kwa Mungu ambaye anakuambia usiogope, nawe umejisikia ku farijiwa.

Mungu si mutu aseme uongo, kila jambo alilo li ahidi maishani mwako ni lazima litimiye. Linaweza kawiya lakini ni lazima lifike. Usichoke ku mutumainia Mungu mùaishani mwako sababu yeye ndiye Njia, Kweli na uzima.

Daudi kasema, nilikua kijana sasa ni muzee, sija ona mwenye haki ameachwa wala watoto wake ku omba omba barabarani. Ombi letu ni kwamba Mungu akuchunge, akulinde siku zote wewe na familia yako.

Video Information

Views

1.7K

Likes

89

Duration

11:20

Published

Mar 14, 2026

User Reviews

4.5
(1)
Rate:

Related Trending Topics

LIVE TRENDS

Related trending topics. Click any trend to explore more videos.

Trending Now