Trump Aelekea Beijing kwa Ziara rasmi π¨π³
Rais Donald Trump anaelekea Beijing kwa ziara rasmi, kuwa kiongozi wa kwanza wa Marekani kuzuru China kwa kipindi hicho.

RFI Kiswahili
1.4K views β’ May 13, 2026

About this video
#usachina #iranwar #donaldtrump
Rais Donald Trump, ameelekea jijini Beijing, katika ziara ya kiserikali, akiwa kiongozi wa kwanza wa Marekani kuzuru nchi hiyo baada ya karibu miaka 10.
Ziara hii ilikuwa imepangwa kufanyika mapema, lakini ikacheleweshwa kwa sababu ya mashambulizi ya Marekani nchini Iran.
Wakati akianza safari yake, Trump amesema atakuwa na mazungumzo marefu na mwenyeji wake Xi Jinping akisisitiza kuwa Marekani haihitaji msaada wa China kuhusu vita vya Iran.

Tags and Topics
Browse our collection to discover more content in these categories.
Video Information
Views
1.4K
Likes
16
Duration
0:38
Published
May 13, 2026
User Reviews
4.3
(1) Related Trending Topics
LIVE TRENDSRelated trending topics. Click any trend to explore more videos.
Trending Now