Israel Mbonyi - Malengo ya Mungu ๐ถ | Stream Now
Discover the powerful message of 'Malengo ya Mungu' by Israel Mbonyi. Stream the song now and follow him for more inspiring music and updates! ๐ต
About this video
https://bfan.link/malengo-ya-mungu
Follow Israel Mbonyi at
https://Imbonyi.com
https://facebook.com/imbonyi
https://instagram.com/israelmbonyi
https://twitter.com/israembonyi
https://www.tiktok.com/@israelmbonyi
Contacts :
Information : Info@Imbonyi.com
Bookings : Booking@Imbonyi.com
Malengo
________
Verse 1
Atakaye kuwa na wema
Ahitajie kuheshimiwa
Basi aende ayatafute kwa
kutenda mema bila kusita
Asiyajali macho ya watu
Maana yao sio muhimu
Bali ajali jina nimuitalo
Kwani mi ni Mungu aliyemuumba
Chorus
Ninayajua yangu malengo
Ni mema sio mabaya
Ili niwape matumaini ya siku zijazo
Nawapenda
Wambieni wenye huzuni
Tulizeni wenye majelaha
Wambieni waje waone
Tuna Mungu mwingi wa upendo
Alitukuta tukigagaa dhambini akatutoa
Katuosha na kutusafisha
Akatuahidi uzima wa milele
Verse 2
Simameni kwenye mnara,
usubiri ntakacho kisema
Zizuieni sauti za muovu
Na upende kuwa mwenye haki
Nenda omba tena uombe
Tofautisha kuomba kwako,
Maana hapo nitakuokoa
Nitaoa jeshi kubwa kwa ajili yako
Tags and Topics
This video is tagged with the following topics. Click any tag to explore more related content and discover similar videos:
Tags help categorize content and make it easier to find related videos. Browse our collection to discover more content in these categories.
4783 user reviews
Write a Review
User Reviews
0 reviewsBe the first to comment...
Video Information
Total views since publication
User likes and reactions
Video length
Release date
Video definition
About the Channel
Related Trending Topics
LIVE TRENDSThis video may be related to current global trending topics. Click any trend to explore more videos about what's hot right now!
This video is currently trending in South Korea under the topic 'a'.
Share This Video
SOCIAL SHAREShare this video with your friends and followers across all major social platforms including X (Twitter), Facebook, Youtube, Pinterest, VKontakte, and Odnoklassniki. Help spread the word about great content!