The Official Lyric Audio for 'Amen' performed by Mathias Walichupa.
Available on all Digital platforms:
https://mathiaswalichupa.lnk.to/amen
Watch More Videos: https://www.youtube.com/channel/UCwN1FpBCin6Srh5XlpOAn3g
Subscribe to Mathias Walichupa's YouTube Channel
https://youtu.be/fOYqh2YOfJI
https://youtu.be/5y58GlTyEeo
https://youtu.be/vux-r5bi0x4
https://youtu.be/1Sc3jaDHnYs
https://youtu.be/4frX0uQPDoM
https://youtu.be/VN7HinV6AP4
https://youtu.be/jpPzxDGs6sM
Follow Mathias Walichupa on All Streaming Platforms: https://linktr.ee/mathiaswalichupa
Follow Mathias Walichupa on socials:
Instagram: https://www.instagram.com/mathiaswalichupa
TikTok: https://www.tiktok.com/@mathiaswalichupa
Facebook: https://www.facebook.com/mathiaswalichupa95
Twitter (X): https://www.twitter.com/iamwalichupa
For Bookings: WhatsApp/Call +255757255858
Email: @chupaprotz33@gmail.com
_________
Lyrics:
Ninayo sababu ya kusimama
Mbele za watu (kwa ujasiri)
Mmh
Niziseme Shuhuda zako BWANA wangu
Jinsi (we ulivyo nisitiri)
Nakama ungeniacha, mi nisingeweza
Ningeli angamia, angamia
Kwa neema yako, nimeweza
Maana umenisimamia
Simamia, ah-ah-ah-ah
Najitabiria, mabaya yote
Hayana nafasi
Kwa jina la YESU, ninakiri
kupokea ushindi
Umo uwezo kinywani mwangu (Amen)
Nikitamka (Amen)
Inatimia (Amen)
Sawa sawa na kusudi lako
Atakama sioni dalili (Amen)
Nina imani nawe (Amen)
Utafanya YESU (ooh-uoo)
Ooh
Kama ni Mali, Fedha na Dhahabu mimi (nitavipata tu)
Ambavyo wazazi wangu, hawakuvipata (nitavipata tu)
Kuongezeka imani, niyashinde majaribu (nitafanikiwa)
Kuishi Utakatifu, niione MBINGU (nitafanikiwa)
Najua, hali ngumu
Zinakikomo, si zakudumu
Ila, Neno la MUNGU na mipango yake
Inadumu milelee
Najitabiria, mabaya yote
Hayana nafasi
Kwa jina la YESU, ninakiri
Kupokea ushindi
Umo uwezo kinywani mwangu (Amen)
Nikitamka (Amen)
Inatimia (Amen)
Sawa sawa na kusudi lako
Atakama sioni dalili (Amen)
Nina imani nawe (Amen)
Utafanya YESU (Ooh-uoo)
Ooh
Atakama sioni dalili (Amen)
Nina imani nawe (Amen)
Utafanya YESU (Amen)
Ooh-uoo
#mathiaswalichupa #amen #gospel
Copyright ©2023 Mathias Walichupa. All rights reserved